Welcome to the Official Website of Zanzibar Water Authority (ZAWA). Zawa is mandated with identification, conservation and protection of
water .
Anouncements
Lipia Bili kupitia Simu
Ndugu Mteja,sasa unaweza kulipia bili yako ya
maji kwa kutumia mitandao ya simu ya Ezy Pesa na Tigo Pesa,
kwa kutumia Control number yako utayapatiwa na Mamlaka Ya Maji (ZAWA). Bonyeza hapa kwa kupata Control Number.
Lipia Bili Kupitia Bank
Ndugu Mteja,sasa unaweza kulipia bili
yako ya maji kwa kupitia mawakala wa Bank, PBZ, NBC,
CRDB na NMB kwa kutumia Control number yako utayapatiwa na Mamlaka Ya Maji (ZAWA).
Bonyeza hapa kwa kupata Control Number..
News and Events
ZAWA WAKAGAU MRADI WA MAJI HOUSE
Watendaji wa ZAWA wakikagua Jengo jipya la Ofisi Kuu ZAWA linaloendelea kujengwa Mwembe Madema .
BODI YA WAKURUGENZI YATEMBELEA MRADI WA MAJI
ZAWA yatembelea Mradi wa Maji Safi unaoendelea kujengwa kwa fedha za Mkopo wa ahueni ya UVIKO 19 Mkoa wa Kaskazini Unguja
ZIARA YA MWENYEKITI WA BODI - PEMBA
Bodi ya Wakurugenzi ZAWA ikiwa katika Ziara ya Kukagua Visima vilivyochimbwa katika Mradi wa Fedha za ahueni ya UVIKO 19 Makangale Pemba.