ZAWA

Follow us:

MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR

DR. SALHA MOHAMMED KASSIM.

Dg Statement
Welcome to the Official Website of Zanzibar Water Authority (ZAWA). Zawa is mandated with identification, conservation and protection of water .
Anouncements

< "Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Inawatangazia Vijana Wote walioomba Nafasi za Ajira zilizotangazwa kupitia Ofisi ya Rais katiba sheria Utumishi na Utawala Bora mnamo Mwezi wa Januari 2024,Kwamba wanatakiwa kufika kwenye Usaili wa kuandika siku ya Jumatano ya Trehe 27 Machi 2024 Saa 5:00 Asubuhi katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Lumumba.Vile vile, Wanatakiwa Kuhudhuria Usaili wa Mahojiano Utakaofanyika Siku ya Alkhamis na Ijumaa ya Tarehe 28 na Tarehe 29 Machi 2024 Saa 2:00 Za Asubuhi Katika Jengo la Ofisi Mpya ya ZAWA liliopo Muembe Madema.Tangazo hili linawahusu vijana wote walioomba Nafasi Za Kazi za Mamlaka ya Maji kwa Upande wa Unguja Tu. Ambao wamepokea Taarifa Kupitia Brua Pepe,Ya Kuendelea na Hatua ya Usaili wa Ajira Walizoomba.Inasisitizwa Kwamba Kila Muombaji Achukue Kitambulisho Cha Mzanzibari Mkaazi Pamoja na Vyeti Halisi Vya Kumalizia Masomo.
"Kila atakae sikia Tangazo hili Anaombwa Amuarifu na Mwengine, AHSANTENI."

Lipia Bili kupitia Simu

Ndugu Mteja,sasa unaweza kulipia bili yako ya maji kwa kutumia mitandao ya simu ya Ezy Pesa na Tigo Pesa, kwa kutumia Control number yako utayapatiwa na Mamlaka Ya Maji (ZAWA). Bonyeza hapa kwa kupata Control Number.

Lipia Bili Kupitia Bank

Ndugu Mteja,sasa unaweza kulipia bili yako ya maji kwa kupitia mawakala wa Bank, PBZ, NBC, CRDB na NMB kwa kutumia Control number yako utayapatiwa na Mamlaka Ya Maji (ZAWA). Bonyeza hapa kwa kupata Control Number..
News and Events
First slide First slide First slide
Projects

Ongoing Project

Miradi ya Maji inayo Endelea Kutekelezwa na Zawa

Stake Holders